| Na. | Maelezo ya Ada | Kiwango cha Ada |
|---|---|---|
| 1 | Usajili wa Kampuni kwa Mtaji wa Hisa (Share Capital) | |
| 1.1 | Zaidi ya Tsh 20,000/= lakini si zaidi ya Tsh 1,000,000/= | Tsh 95,000/= |
| 1.2 | Zaidi ya Tsh 1,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh 5,000,000/= | Tsh 175,000/= |
| 1.3 | Zaidi ya Tsh 5,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh 20,000,000/= | Tsh 260,000/= |
| 1.4 | Zaidi ya Tsh 20,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh 50,000,000/= | Tsh 290,000/= |
| 1.5 | Zaidi ya Tsh 50,000,000/= | Tsh 440,000/= |
| 2 | Usajili wa kampuni isiyo na mtaji wa hisa (idadi ya washirika kama ilivyoainishwa kwenye Malengo na Katiba) | Tsh 300,000/= |
| 3 | Ada ya kufungua jalada la maombi (Tsh 22,000/= kwa kila waraka – Malengo na Katiba) | Tsh 66,000/= |
| 4 | Ushuru wa stempu kwa kila nakala ya Malengo na Katiba ya Kampuni | Tsh 10,000/= |
| 5 | Ushuru wa stempu kwa Fomu Na. 14B | Tsh 1,200/= |
| 6 | Kulinda jina la kampuni | Tsh 50,000/= |
| 7 | Kubadilisha jina la kampuni | Tsh 22,000/= |
| 8 | Upokeaji na/au usajili wa waraka wowote kwa Msajili chini ya Sheria | Tsh 22,000/= |
| 9 | Ada ya kuchelewa kufungua jalada/usajili wa waraka (kwa mwezi au sehemu ya mwezi) | Tsh 2,500/= |
| 10 | Kujaza na kuwasilisha taarifa ya mwaka (Annual Returns) | Tsh 22,000/= |
| 11 | Ithibati ya waraka (kwa kila ukurasa) | Tsh 3,000/= |
| 12 | Kutafuta jalada au kupekua taarifa yoyote | Tsh 3,000/= |
| 13 | Ripoti ya utafutaji wa faili | Tsh 22,000/= |
| 14 | Ada chini ya Kifungu XII cha Sheria | |
| 14.1 | Usajili wa nakala yenye ithibati ya mkataba, sheria au katiba ya kampuni | USD 750 |
| 14.2 | Ujazaji wa waraka wowote unaohitajika kuwasilishwa (isipokuwa mizania) | USD 220 |
| 14.3 | Kufungua jalada la mizania | USD 220 |
| 14.4 | Ada ya kuchelewa kufungua jalada/usajili wa waraka (kwa mwezi au sehemu ya mwezi) | USD 25 |
| 15 | Nakala ya Cheti cha Usajili wa Kampuni | Tsh 4,000/= |
ANGALIZO: Ada hizi zinaweza kubadilika kulingana na marekebisho ya kisheria.
